Nafanya kazi kwenye sekta ya afya kwenye miradi, Kama mtaalamu kwenye mifumo ya kutoa na kukusanya taarifa. Nimejifunza ni muhimu sana kuweka mahitaji ya client mbele. Nimejifunza umuhimu wa team work na colaboration. Haya msaa 35 kwakweli imenijenga sana kama mdau katika miradi